Huduma yetu ni rahisi na starehe
Gari zetu hufika kwa upesi
Safiri kwa bei nafuu
Lipa nauli kwa pesa taslimu
Hakuna ratiba, wewe ndiwe mwamuzi
Itakuchukua muda mfupi tu kwa programu yetu kupata abiria wako wa kwanza.
Pata pesa kutoka akaunti yako papo hapo
Fanya kazi upate mapato wakati unaokufaa.
Inakuwezesha kupata mapato mazuri
						
					Programu ya madereva itakuonyesha abiria walioagiza teksi, mahali abiria wanakoenda na itakupa taarifa ya mapato yako kwa kina
						
					Nauli inaweza kuongezeka wakati wa masaa ya kukimbia/rush hours kama vile asubuhi na jioni
						
					Pata pesa zaidi kuliko kawaida kwa kusafirisha abiria kutoka jiii moja kwenda jiji lingine
						
					Chagua maagizo ya teksi yanayokufaa. Utaweza kuona abiria yupo wapi na anapokwenda kabla ukubali agizo